top of page

Ev. Ezra Mbenanga
16 Okt 2025
YAMEFANYIKA MAKUBALIANO YA KUENDELEZA MAHUSIANO BAINA YA KKKT DAYOSISI YA KONDE NA LOWER SUSQUEHANNA SYNOD
Askofu Geoffrey Mwakihaba wa KKKT Dayosisi ya Konde na Askofu Stephen Herr wa Lower Susquehanna Synod kwa pamoja wameweka sahihi katika agano la mahusiano baina ya Taasisi hizo mbilio. Ikumbukwe kuwa hii ni baada ya agano la mahusiano lile la mara ya kwanza la mwaka 1996 ambapoliliwekwa na Askofu Amon D. Mwakisunga la kuunganisha urafiki baina ya Dayosisi ya Konde na Sinodi ya Lower Susquehanna.
Hii ni hatua kubwa ya kuhuisha uhai wa mahusiano baina ya makanisa haya mawili yani KKKT DKO na LSS ya Marekani
ELCT KONDE TV UPDATES
bottom of page