top of page

Habari Mbali mbali

19 Okt 2025

KURA ZA MAONI KUPIGWA LEO KKKT DAYOSISI YA KONDE

KURA ZA MAONI ZA WANAKONDE

Leo Wachungaji na Wakristo wote wa Dayosisi ya Konde watajumuika kupiga kura za maoni

16 Okt 2025

UTIAJI WA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

YAMEFANYIKA MAKUBALIANO YA KUENDELEZA MAHUSIANO BAINA YA KKKT DAYOSISI YA KONDE NA LOWER SUSQUEHANNA SYNOD

PICHA YA PAMOJA YA ASKOFU MWAKIHABA WA KKKT DKO NA ASKOFU HERR WA LSS

15 Okt 2025

MAHAFALI YA 33 CHUO CHA BIBLIA NA UFUNDI MATEMA

Wanafunzi 30 wahitimu Kozi zao Matema

Pichani ni Wahitimu wa kozi ya Uinjilisti na Parish Worker waliohiyimu

15 Okt 2025

KATIBU MKUU WA KKKT ATEMBELEA DAYOSISI YA KONDE

Ziara ya Kikazi ya viongozi wa KKKT katika Dayosisi ya Konde

PICHANI KATIKATI NI KATIBU MKUU WA KKKT

26 Sep 2025

ASKOFU MWAKIHABA AZINDUA USHARIKA WA ILEMI JIMBO LA MBEYA MASHARIKI

UZINDUZI USHARIKA WA ILEMI

UZINDUZI WA NYUMBA YA MTUMISHI ILEMI

24 Sep 2025

Ugeni wa wachungaji kutoka KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani

Ugeni kutoka KKKT-DMP

picha ya pamoja ya Baba Askofu Geoffrey Mwakihaba na wachungaji kutoka KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

29 Jun 2025

Konde Marathon 2025

Konde Marathon, Iliyofanyika tarehe 28 June 2025, ili kuchangisha fedha za kununulia vifaa tiba katika hospitali mpya ya kanisa inayoitwa Konde Hospital and Diakonia Center.

bottom of page