Karibu katika kundi la KKKT Dayosisi ya Konde, hapa tutabadilishana mawazo mazuri, juu ya neno la Mungu, Huduma za Kanisa na Ushuda wa kiroho. Kwa sababu, biblia inasema "Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo." Warumi 10:17
18 Views
